Mabingwa wa ligi kuu england manchester city wataanza kutetea ubingwa wao dhidi ya west ham wakati manchester united itafungua ligi dhidi ya chelsea agosti 11 katika msimu wa 2019 20. June 13 2019 by global publishers. Ratiba epl 2019 20 yatoka man u kuanza na chelsea.